Bolivia-Barabara ya Kifo
Barabara ya Yungas (aka Grove's Road, Coroico Road, Camino de las Yungas, El Camino de la Muerte, Road of Death or Death Road) ni barabara ya kilomita 61 katika mkoa wa Yungas Bolivia....
View ArticleBolivia-Barabara ya Kifo
Barabara ya Yungas (aka Grove's Road, Coroico Road, Camino de las Yungas, El Camino de la Muerte, Road of Death or Death Road) ni barabara ya kilomita 61 katika mkoa wa Yungas Bolivia....
View ArticleSi kila mtu ni mshauri mzuri wa mapenzi
KUMEKUWA na tabia za watu kuingilia matatizo ya wengine wakionyesha kutaka kutoa msaada ambao baada ya muda huwa kinyume cha matarajio. Badala ya kutengeneza wanaharibu kabisa.Inakuwaje umekosana na...
View ArticleHiatus Hernia (Ngiri ya Kwenye Kifua)
Hiatus Hernia ni tundu linalotokea baada ya sehemu ya juu ya mfuko wa kuhifadhia chakula (tumbo) kuingia kwenye sehemu ya kifua kupitia uwazi unaojulikana kama esophageal hiatus. Kwa kawaida uwazi huu...
View ArticleKushindwa Kujizuia Kujikojolea /Kupitisha Haja Kubwa kwa Wanawake. (VVF)
Kwa kitaalamu fistula hujulikana kama njia isiyo ya kawaida inayounganisha mfuko wa mkojo na uke, ambayo huruhusu mkojo na/au haja kubwa kutoka bila kujizuia kwenye kuta za uke.Nini hutokea?Tatizo la...
View ArticleFaida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic)
Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000...
View ArticleKupungua au Kukosa Hamu ya Kufanya Mapenzi
Matatizo ya kufanya mapenzi au kujamiana kwa wanawake yanatambulika kama tatizo linalojirudia kwa muda mrefu ambapo huathiri mzunguko wa tendo la kujamiana (kusisimka, kufikia kilele, kurudia) na hivyo...
View ArticleSababu za Watoto Wachanga Kulia Mara kwa Mara na Namna ya Kuwabembeleza
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani wa kati ya saa moja mpaka matatu kwa siku. Kwa vile watoto hawawezi kujifanyia chochote wao...
View ArticleMagonjwa ya Moyo ya Kuzaliwa (Congenital Heart Diseases)
Muundo ya moyo na mishipa ya damu ni mojawapo ya vinavyooathirika katika magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo. Vijusi(fetuses) kati ya 8 hadi 10 huathirika kwa kila 1000.Magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo...
View ArticleKuoza kwa meno (Dental Caries) ni ugonjwa wa kuambukiza
Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa kuambukiza. Jino lililooza linaweza kuambukiza meno...
View ArticleKusinyaa/Kuziba kwa mrija wa mkojo (Urethral stricture)
Mrija wa mkojo (urethra) ni kiungo muhimu kinachotoa mkojo nje ya mwili kutoka kwenye kibofu. Mrija huu unaposinyaa au kuziba hufanya utokaji wa mkojo kuwa wa mashaka na maumivu makubwa. Kusinyaa/...
View ArticleTatizo la Kuota Matiti kwa Wanaume na Watoto (Gynecomastia)
Tatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto limekuwa kubwa sana katika dunia ya leo. Inawezekana kabisa wakati unatembea njiani ukaona wanaume au watoto wadogo wa kiume wakiwa na matiti makubwa ambapo...
View ArticleMaambukizi ya Fangasi katika Sehemu za Siri (v.Candidiasis)
Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao.Maambukizi ya...
View ArticleUpungufu wa Damu Kipindi cha Ujauzito
Upungufu wa damu (anaemia) hutafsiriwa kama kupungua kwa kiwango cha hemoglobin katika damu damu chini ya kiwango kinachokubalika kiafya. Kiwango cha kawaida cha haemoglobin (Hb) katika mwili wa...
View ArticleKutoga Ulimi ama Mdomo
Katika zama hizi za utandawazi na muingiliano baina ya tamaduni zetu za asili na tamaduni za kimagharibi, imekuwa ni kawaida kwa vijana wa rika tofauti na jinsia zote kutoga ulimi, mdomo, kitovu ama...
View ArticleDalili na Ishara za Ujauzito
Dalili za ujauzito hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, ingawa kuchelewa au kukosa hedhi ni dalili moja muhimu sanaNi muhimu kuzitambua na kuzifahamu dalili hizi kwa sababu zinaweza kusaidia...
View ArticleKorodani Bandia Kutengeneza Shahawa
Wanasayansi nchini Marekani wako mbioni kutengeneza korodani bandia (artificial testicle) zitakazokuwa zikitengeneza shahawa ili kusaidia wanaume wenye matatizo ya uzazi.Timu ya wanasayansi katika...
View ArticleKukosa Usingizi Husababisha Upungufu wa Homoni ya Testosterone
Mnamo mwaka 2007, watafiti nchini Marekani walifanikiwa kutoa ripoti inayojaribu kuhusisha ukosefu wa usingizi na upungufu wa homoni ya testosterone miongoni mwa wanaume watu wazima.Kwa kawaida kiwango...
View ArticleMsongo wa mawazo kipindi cha ujauzito husababisha ulemavu kwa mtoto
Watafiti wa magonjwa wanadai kuwa msongo mkali wa mawazo wakati wa ujauzito unaweza kusababisha hitilafu katika uumbaji wa mtoto na hatimaye mtoto kuzaliwa akiwa mlemavu. Ripoti ya watafiti hao inazidi...
View Article